Picha mbalimbali Aziz Ki akiwa nyumbani kwake

Apunguze show off za media apambane na maisha ya chini ya carpet maana safari bado sanaa.....afikirie kuwekeza kimya kimya bonds na real estate kama ameamua Tz ndio nyumbani kwao ....kwa pili umri unaenda mpira utaisha siku atajikuta Singida then Tabora then Mashujaa....Dodoma Jiji ndio mwisho......awekeze maana mkono mtupu haulambwi
 
A man with two balls ana shauri kuhusu pesa za mwanaume asie mjua
 
Bonds
Real estate.

Upuuzi mtupu, amekwambia umshauri
 
We umewekeza wapi? Tuanze na wewe kwanza ili tujue unacho kishauri ni sahihi au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…