Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kati ya hizo unbeaten zao 49 unaweza kukuta nusu yake inatokana na ushindi wa mchongo.
Kilio cha mtu mzima hahaSaivi wamehamisha goli, wanasema et pamoja na kufungwa ila bado wanaongoza ligi.
Lakini hawana furahaSaivi wamehamisha goli, wanasema et pamoja na kufungwa ila bado wanaongoza ligi.
Cha ajabu wamefungwa wao huko ubaruku, wanataka nasisi tukose furaha kama wao.Lakini hawana furaha
Ndo maana wakafungwa, hawakumpata wa kumpa hizo Bahasa!
Ndomana mabosi wa ihefu wakikuwepo jana wakiwa machoNdo maana wakafungwa, hawakumpata wa kumpa hizo Bahasa!