Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wapo wenye vitambi na wasio na vitambi.Waliofanya doria 29/10 walikua na vitambi?
Usipanic. Tulia tu dawa ikuingie taratibu.Wewe dogo ulichochea vijana waandamane wakatoka wakauliwa Kama wewe usiyejitambua unakaa ktk keyboard unaandika ujinga
Usipanic. Tulia tu dawa ikiingie taratibu.
Usipanic. Tulia bwana mdogo.Sawa ,unafikiri watu wote ni sawa ?
Usipanic. Tulia bwana mdogo.
Weka picha kwanza nione hao wa kwenye doria wenye vitambiWapo we ye vitambi na wasio na vitambi.
Tuoneshe mwanajeshi wao amvaye ni active jeshini na ana kitambi.
Nani kachezea maisha ya nani?Mimi natoka katika project tofauti na unayotoka wewe
Siwezi kukubali ucheze na Maisha ya vijana tena
Hitler Kwa mara ya Kwanza alimuona mwanajeshi Mwenye kitambi...USA walipofika Berlin....hakupata hata muda wa kushangaa .π€£π€£ Hao wenye vitambi ndo walikutulizia nchi Oct. 29.Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.
NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
View attachment 3515795
Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi. Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
View attachment 3515796
Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
Kwa hiyo kazi yao ni kutuliza maandamano ya kudai haki na mifumo imara itakayolufanya Taifa letu kuwa bora na maendeleo ya uhakika?Hitler Kwa mara ya Kwanza alimuona mwanajeshi Mwenye kitambi...USA walipofika Berlin....hakupata hata muda wa kushangaa .π€£π€£ Hao wenye vitambi ndo walikutulizia nchi Oct. 29.
Bora yeye kuliko wewe uliyefungua ID zaidi ya 100, una kazi ya kumanipulate tu.Wewe dogo ulichochea vijana waandamane wakatoka wakauliwa Kama wewe usiyejitambua unakaa ktk keyboard unaandika ujinga
Bora yeye kuliko wewe uliyefungua ID zaidi ya 100, una kazi ya kumanipulate tu.
Alafu ulivyo mjinga umebadilisha zote majina ukijua watu watasahau
friedman umebadili ilikua manfried
Ujinga upi?Mnaongea mambo ya kitoto Sana hapa JF .
Ndo maana Mimi huiwaita NYUMBU Mnaamini kila ujinga .
Kuna utoto zaidi ya hiki ulichofanya cha kufungua ID zaidi ya 100, kila ID una act tofauti. Mara unataka ajira ya ualimu, Mara dalali, mara mfanyabiashara mkubwa, mara therapist n.kMnaongea mambo ya kitoto Sana hapa JF .
Ndo maana Mimi huiwaita NYUMBU Mnaamini kila ujinga .
Huyo ana matatizo, soma anachoandikaga akiwa na hii friedman , alafu msome anachoandika kwenye hiyo ya hayaland. Ni Kama mtu aliyechanganyikiwaUjinga upi?
Kuna utoto zaidi ya hiki ulichofanya cha kufungua ID zaidi ya 100, kila ID una act tofauti. Mara unataka ajira ya ualimu, Mara dalali, mara mfanyabiashara mkubwa, mara therapist n.k
Kwenye siasa, angalia unachoandika hapa kwenye hii haya land alafu linganisha na unachoandikaga kwenye hii friedman , ndio utaelewa una matatizo kiasi gani