Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Huwa wanajitetea kuwa ni wepesi despite wanakitambi mkuu.
 
Watu wanatetea jeshi ambalo limekaa kimya huku maelfu ya wananchi wakiuwawa mbele ya macho yao.
 
Mods wa Jf naombeni mnisikilize kwa heshima wakubwa zangu!!
Hawa watu wenye nyuzi kama hizi za uchochezi kwa nini mnawaacha waendelee na haya mambo??
Hamuoni kama hawa ndo wanafanya mpaka saivi hatuingii Jf bila Vpn?
Please Max na wenzie fanyieni kazi hawa members !!..
Onyesha mfano kwa kujiondoa Jf.....nenda Badoo
 
Tanzania haikwenda DRC kupigana vita, msilidharau jeshi letu kiasi hicho kisa halijawapa sapoti kwenye upuuzi wenu wa 10/29, Tanzania haikwenda kupigana vita DRC narudia tena, kama uko misinformed bora uulize.
Tanzania haikwenda kupigana vita DRC? Are you joking? Kwenda kuwatuliza M23 unafikiri ni taarabu lile? Askari wangapi wa Afrika ya Kusini walikufa katika ile mission na kuleta mtafaruku mkubwa wa kisiasa nchini hadi leo? Halafu walikimbia nini hadi kuruhusiwa kuingia Rwanda na kisha kupigwa search na kukabidhiwa kwa mamlaka za nyumbani?

Umeshawahi kushuhudia operesheni za peacekeeping mission DRC? Zile sio taarabu! Endeleeni kukaa hapo Lumumba kupiga propaganda zenu mfu na kuendelea ku-terrorise wananchi wanyonge. That's all you can do shamelessly.
 
Kwa hiyo hata wewe umeona kuwa yote yanayofanyika na anayofanya hayazingatii Katiba sio?

Polisi gani wa kutoa maelezo kwa matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu wanayoamuliwa kuyafanya dhidi ya Watanganyika na huyo Samia na genge lake?

Ujenzi wa miundombinu hata wakoloni walijenga ila tuliwaambia waondoke kwa kuwa walikuwa hawajali haki zetu.

Kujenga miondombinu sio kigezo cha kuua, kuteka, kupoteza na kuwafungulia watu kesi za uongo.
Hawakuui wala kukuteka ikiwa hauna kosa lolote, mbona mimi na wewe tunawasiliana muda huu tukiwa huru?'

Huwezi kumtukana mkuu wa nchi halafu ukaachwa uendelee kuishi kwa amani na usalama hii ipo dunia nzima.

Mwanaharakati mmoja kule USA alikuwa kila kukicha anamtukana Trump, keshapotezwa. wanamtafuta hawampati.

Dunia nzima nafasi ya rais inaheshimiwa. Tundu Lissu pamoja na kejeli zake zote hajamshambulia Rais SSH.
 
Huna akili. Kumtukana mkuu wa nchi ndo nini? Nini ni kumtukana mkuu wa nchi?

Yeye ni nani asisemwe?
 
Huna akili. Kumtukana mkuu wa nchi ndo nini? Nini ni kumtukana mkuu wa nchi?

Yeye ni nani asisemwe?
Umseme kwa adabu pengine anamzidi umri mama yako mzazi. Huwezi kumtukana amiri jeshi mkuu halafu uendelee kubakia mzima.

Dunia nzima huo utaratibu upo. Madonna alimtukana Trump watu wa FBI wakamwambia afute kauli au apelekwe mahakamani akafuta kauli yakaisha.
 
Hayo unayosema yapo kwenye kifungu kipi cha sheria ya nchi gani?
 
Hayo unayosema yapo kwenye kifungu kipi cha sheria ya nchi gani?

Ukimtukana Rais popote duniani unahatarisha maisha yako, unaweza kukutana na kifo au mateso yatakayokuacha hoi bin taabani.

Mtukane Samia ukiwa unatumia jina lako feki la JF usirogwe kumtusi kwa kutumia jina lako halisi kwenye mitandao mingine.
 
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Nadhani Rwanda hamuijui ninyi. Na labda mnaitizama Kigali.
Maendeleo ya Rwanda hayako well ama equally distributed kama Tanzania. Mkosoe Samuya ila usifananishe TZ na Rwanda. Rwanda hakuna maendeleo yeyote.
Hao wasomi wakubwa wa Rwanda hususan madaktari wanakuja kusoma na kujifunza Tanzania kaa ukilijua hilo.
Mkosoeni Samuya ila kuifananisha TZ na Rwanda HELL NO.
 
Rwanda, Kenya na sasa Uganda ndo mataifa yanayoongozwa kwa akili.

Tanzania inaongozwa kwa uchawa na ujinga ndo mana saivi inazidi kurudi nyuma kila siku.
Uganda na Kenya ndio ina viongozi wa hovyo kuwahi kutokea.
Wakati mwingine basi mutumie akili kidogo kuongea.
Yoweri Museven ana uweledi gani?
Huyo Kasongo naye nini la maana amelifanya kwa Kenya hadi sasa!?
Zaidi ya kwenda kukopa tu na deni la Kenya kuwa kubwa zaidi ya asilimia 80 ya GDP yao!
 
Back
Top Bottom