Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Picha mbili zinaelezea kwanini kwa sasa wao ni bora kuliko sisi

Jeshi aliondoka nalo Mwamunyange.

Saivi JWTZ ni kikundi cha wahuni kama wahuni wengine tu. Hakuna weredi, hakuna kujitambua, hakuna kusimamia maslahi ya Wananchi. Ni mwendo wa uchawa na kujipendekeza kwa ccm tu kama ndo miungu wao.
Retired general Davis alikuwa anatii serikali ya mamlaka gani? wapi alikwenda kinyume na serikali iliyokuwa madarakani? mbona nyie watanzania wenzangu hamueleweki hata mnasimamia nini, mlitaka jeshi lisimamie maslahi yenu ya kuchoma mali za watu kwa wivu na husda sio? kwamba mkimaliza kuchoma mpewe ulinzi, like seriously?.
 
Waliofanya doria 29/10 walikua na vitambi?
Ndio walikuwa na vitambi Ndo maana wakuwa waua mpaka wototo na wajawazito ambao hawana siraha am sure siku watakavyopambana na wenye siraha mia wao wakiwa buku watatoka nduki
 
Picha ya kwanza ( Sisi)
Vitambi vya maana- Hii
ni ishara ya mtu asiyejali mwili wake na kuendekeza kula na kulala.

NI ishara ya mtu mvivu ambaye haumizi kichwa chake kutafuta ufumbuzi wa matatizo yanayomkabili ila anayeendekeza njaa na shibe ya tumbo tu.
View attachment 3515795

Picha ya pili (Wao)
Miili nadhifu isiyo na vitambi.
Hii ni ishara ya watu wanaojali mazoezi na afya zao. Wenye utimamu wa miili na akili ambao muda wote wanaumiza kichwa namna ya ku survive kwenye dunia ngumu
View attachment 3515796

Usijiulize tena kwa nini sisi tulishushiwa kipigo cha mbwa mwizi hadi tukakimbia Goma?
Wazee wa kuvunja tofali
 
Retired general Davis alikuwa anatii serikali ya mamlaka gani? wapi alikwenda kinyume na serikali iliyokuwa madarakani? mbona nyie watanzania wenzangu hamueleweki hata mnasimamia nini, mlitaka jeshi lisimamie maslahi yenu ya kuchoma mali za watu kwa wivu na husda sio? kwamba mkimaliza kuchoma mpewe ulinzi, like seriously?.
Kazi kuu ya Jeshi ni kulinda uhai na maslahi ya Wananchi sio kikundi cha mafisadi wachache wanaoua raia na kufisadi kodi zao.
 
Katiba ipi ya JMT?

Nyie mlivyoiba uchaguzi mmeiba kwa kifungu kipi cha Katiba?

Mlivyoua maelfu ya vijana wa kitanganyika mmefanya hayo kwa kifungu kipi cha Katiba?

Mnavyoteka, kuua na kuwapoteza Watanganyika mnafanya hayo kwa kifungu kipi cha Katiba?
Nchi yetu ni Tanzania hayo mambo ya tanganyika ni upumbavu wenu mlioubuni kujaribu kutafuta sympathy.

Vijana kama walifanya uhalifu wakakutana na nguvu kidogo nadhani ni muda sasa wa kujitahidi siku nyingine wafuate mambo kwa njia zake, na nyie mnaowashawishi mlipaswa muwe mstari wa mbele sio kuwa keyboard warriors wakati wenzenu wanaumia kwa ushawishi wenu.
 
Kazi kuu ya Jeshi ni kulinda uhai na maslahi ya Wananchi sio kikundi cha mafisadi wachache wanaoua raia na kufisadi kodi zao.
Nakuuliza wakati general Davis ni CDF alikuwa analinda maslahi ya chama gani na wananchi wa nchi gani? unataka kutudanganya kama tulikuwa tunanyonya wakati yupo kwenye service, hebu tuacheni na nchi yetu itulie kila siku kelele mnalipwa? kama mnaona hapa hapawafai si muondoke? hamridhishwi halafu kila siku mnakenua meno kwenye vijiwe vya kahawa hapahapa Tanzania, hamna options au?.
 
Wapi alilinda maslahi ya ccm?
 
Walau Rwanda hakuna demokrasia LAKINI KUNA MAENDELEO na hakuna rushwa, wiI wa fedha za umma.

Tanzania inaongozwa na huyu mvimba macho mke wa tatu wa mvuvi. Huyu mwanamke hajui chochote. Na si ajabu hata haelewi kwann yuko hapo.
Acheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.
 
Baada ya kugundua hilo mkaamua muende kuchukua nchi kwa maandamano.😀
Na ukiwauliza mnaichukua kuipeleka wapi? wana cha kujibu basi? haya leo tarehe 16/12 wameshasimika serikali yao madarakani isiyokuwa na kiongozi? maana walikuwa wanajichomea tu kila wanachokiona na kutukana kila aliye mbele yao.

.سفهاء الأحلام، حدثاء الأسنان، كلاب النار
 
Acheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.
We kichwa chako kimejaa mavi maongezi Yako utumbo mtupu
 
Wewe dogo ulichochea vijana waandamane wakatoka wakauliwa Kama wewe usiyejitambua unakaa ktk keyboard unaandika ujinga
Waliochochea maandamano ni samuya na genge lake la kijani kwa kuiba kura
 
Acheni kufananisha hiyo wilaya yetu ya zamani na nchi kama Tanzania, ni utoto kufananisha mkoa wa Tabora na nchi ya mikoa 25 mikubwa kimaendeleo, size matters, maendeleo kwa kuinyonya DRC kupitia westerners.
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi, quality matters.

Israel na udogo wake inatikisa ukanda mzima wa mashariki ya kati, na hakuna anasema "nyoo!".

Hiki ndicho Rwanda inafanya afrika mashariki na kati. Ni ndogo kwa size lkn mambo yake ni makubwa mpk Trump anamuita mezani.

Huyu punguani wenu asiyeelewa chochote hana vision wala mission yoyote. Siku inaanza na kuisha kwa kuwaza mtandio na ushungi wa kuvaa kesho yake.
 
Back
Top Bottom