wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Hii imetokea huko nchini Kenya mbunge kawasili kwa chopa kuja kuzindua daraja la mbao.
My take:
maajabu kama haya utayasikia kwa majirani tuu hapa tz huwezi sikia vituki kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
My take:
maajabu kama haya utayasikia kwa majirani tuu hapa tz huwezi sikia vituki kama hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app