Picha: Mbunge aja na chopa kuzindua daraja la mbao

Picha: Mbunge aja na chopa kuzindua daraja la mbao

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Hii imetokea huko nchini Kenya mbunge kawasili kwa chopa kuja kuzindua daraja la mbao.

My take:
maajabu kama haya utayasikia kwa majirani tuu hapa tz huwezi sikia vituki kama hivi.
IMG_20210427_154459.jpg
IMG_20210427_154504.jpg
IMG_20210427_154453.jpg
IMG_20210427_154509.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine hapapitiki kwa njia ya ardhini ndiyo maana katumia anga.
 
Back
Top Bottom