@MK254Hii imetokea huko nchini kenya mbunge kawasili kwa chopa kuja kuzindua daraja la mbao.
My take:
maajabu kama haya utayasikia kwa majirani tuu hapa tz huwezi sikia vituki kama hivi.View attachment 1765590View attachment 1765591View attachment 1765592View attachment 1765593
Sent using Jamii Forums mobile app
wenye ufala mob zaidi ni hao wananchiHuyo politician ana ufala mob
tusilaumu bila kujua labda wabunge wa kenya wanapewa chopper kama chombo cha usafiri๐Huyo politician ana ufala mob
Na utepe pia alikata!Ukiulizwa kwann anashabikiwa namna hiyo utaambiwa ni kabila moja na wapiga kura wake!
Hakuna hata mwenye barakoa na distancing ni zero kisha ustasikia eti tunataka chanjo watu wanakufa kwa covidHii imetokea huko nchini Kenya mbunge kawasili kwa chopa kuja kuzindua daraja la mbao.
My take:
maajabu kama haya utayasikia kwa majirani tuu hapa tz huwezi sikia vituki kama hivi.View attachment 1765590View attachment 1765591View attachment 1765592View attachment 1765593
Sent using Jamii Forums mobile app
Au nasema uongo ndugu zangu?Mitano tena kwa mbunge!!