Picha: Mbunge wa Tarime Mjini akiwasaidia watoto wa mtaani kubeba makopo

Kama ushakula vyake ili umpigie debe pambana ila kwa huku jf umeangukia pua upat kitu
Dah kweli Dsm ina wagonjwa wa akili maelfu na maelfu hujui kwamba hii picha tayari ishampa uwaziri subiri picha nyingine coming soon, wanyonge oyeeee
 
Posho anakula peke yake,
Makopo anaokota na wananchi,
Msaada wa kweli ni kuwakomboa kutoka kwenye kuokota makopo hadi kuuza bidhaa zilizobebwa kwenye makopo hayo!
 
huo nao ni wehu pia.
huwezi kutatua shida za watoto wa mitaani kwa kuwasaidia kubeba makopo.
 
Dok apo apa!Yaan kufanya kazi na mikamera ndio unaona ana piga kaaaaazi!!!
 
Kweli we ni chizi, pia inaonekana we ni msadukayo, huwajui vizuri mafarisayo
 
Hujui lolote kuhusu watoto wanaoshi na kufanya kazi mitaani.
Nakushauri ukae kimya ili usionekane kituko mbele za wanaoua juu ya kundi hilo ambalo kimsingi serikali ya ccm haina chochote cha kufanya juu yao!
Huyo mbunge ametoa mchango gani kuhakikisha panaitwa na bajeti ya kuwahudumia hai watoto wa mitaani???
Kuna fungus kwenye bajeti kuu kuwahudumia hai watoto wa mitaani?
Acheni ujuha nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…