Ndio maana nikawa na wasiwasi kua wewe ni kitoto cha shule,pia uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo sana!
Wapi nimesema habari ya Pogba ni bora kuliko wengine?
Wapi nimesema wale wasio mastar wanaoenda kufanya hiyo ibada si lolote?
Nimeshakuambia zaidi ya mara 2,Pogba ni star,kila akifanyacho ni habari,
Wewe hata kukiwa na nyuzi milioni humu tatizo lako nini? Server za jf zipo kichwani mwako? umeshauriwa kua kama huu uzi unaona ni wa hovyo sio lazima kuusoma au kuchangia,JF ina majukwaa mengi tu kwanini uteseka na thd inayokuchomwa kwa chuki zako za udini?