PICHA: Mchezaji wa Manchester United, Paul Pogba akiwa Macca

Makka wanafanya ibada na sio mbugani hapo ambapo watalii wanapatikana
Mkuu unadhani utalii ni kwenda mbugani tuu. Kwa taarifa yako hao wanaokwenda Makka ni watalii japo wengi wao hawajijui kama ni watalii
 
Mkuu unadhani utalii ni kwenda mbugani tuu. Kwa taarifa yako hao wanaokwenda Makka ni watalii japo wengi wao hawajijui kama ni watalii
Mkuu wanaoenda Israel na Roma vp nao ni katika watalii au 🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Fafanua sio povu tu
Hili lidini linawafanya mnahasira always[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Watoto wa Housegirl utawajua tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako.
 
Mi nauliza kitu kimoja,wanaoendaga kwenye hii ibada wengi hunyoa vipara,lakin mbona yeye kanyoa pank?isije ikawa vijana wanaenda tu kwenye hii ibada kwa kuwa tu wanazo nauli za kwenda huku lakin hawajui chochote kuhusu hii ibada,maana hata kijana wetu Samata alienda huko kwenye hii ibada alafu juzi kati nimesoma sehemu anahojiwa kuhusu kuoa akajibu kuwa ataoa akakiribia kustaafu mpira,lakini akasema anamchumba wake na wameshazaa tayari,wakati mi naimani dini tukufu ya Kiislam inatuhimizi kuoa ili tusifanye zinaa,
 
Siwezi kubishana na mtoto mdogo tena mwenye IQ ndogo. Mimi sio size yako. Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako. Sio kila mtu humu jamvini akuone wewe ni mjinga. Take my advice bobo!!!!!
Fafanua sio povu tu
Hili lidini linawafanya mnahasira always[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Watoto wa Housegirl utawajua tu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Povu tena ukubwa wako haunihusu
Siwezi kubishana na mtoto mdogo tena mwenye IQ ndogo. Mimi sio size yako. Wakati mwengine uwe unaficha ujinga wako. Sio kila mtu humu jamvini akuone wewe ni mjinga. Take my advice bobo!!!!!
 
Kama anaishi na mwanamke mpaka kuzaa nae,hayo ni makosa,hiyo ni Zinaa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…