Sasa ww unataka kusemaje?
Haya sema unalotaka kusema
Kwani ubishi au tunaelimishana??
Kamuiga nani? Na huyo aliyeigwa na Messi nae alimuiga nani? Na huyo aliyeigwa na aliyemuiga Messi nae alimuiga nani? endelea na huo mtiririko ili utupe jibu kua Messi kamuiga nani hasa?Messi kaiga kufuga ndevu
Og kamuiga fake overKamuiga nani? Na huyo aliyeigwa na Messi nae alimuiga nani? Na huyo aliyeigwa na aliyemuiga Messi nae alimuiga nani? endelea na huo mtiririko ili utupe jibu kua Messi kamuiga nani hasa?
huo uchafu wako messi ukalinganishe na gaucho!?..hyo orodha de lima na gaucho wasiwepo awepo rikweme!?..una umri gani?..kiwango cha elimu?Nionyeshe huyo gaucho ndani ya top 5!!!!!! Je yumo????? Nawewe uckimbie ka wenziyo had leo hawana la kujibu.
Wamekaria kusema noma mara cjui fundi. 2nataka facts hapa!!!! Co kucfia 2.
1-Messi
2-Maradona
3-
4-Pele
5-Zinedine
5-Requelme nk
ni hivi...kama mtu halifahamu vyema jambo flani basi itumike lugha ya staha itakayoruhusu udadisi wa mtu asiyefahamu ili aeleweshwe vema!lugha ya kebehi na kuudhi na kukera hupunguza udadisi wa mtu na pengine kuendelea kubakia na ujinga wake!!!Mfano kabla ya mjadala huu nilikuwa nadhani Iraq na Iran sawa tu kama Kenya na Tanzania ila nimejikuta nachimbua zaidi na kufahamu kuwa Irani kama msemavyo ni tofauti sana...lakini ni baada ya kukomaa dhidi ya lugha za kukera za wanaofahamu kuwa Irani sio waarabu!!Sasa ww unataka kusemaje?
Haya sema unalotaka kusema
huo uchafu wako messi ukalinganishe na gaucho!?..hyo orodha de lima na gaucho wasiwepo awepo rikweme!?..una umri gani?..kiwango cha elimu?
kuna kombe gani messi kachukua gaucho hakuchukua,kinyume chake ipoje,nenda you tube kawaangalie gaucho na kakaake de lima,sio unaolewa tu na mahaba...uandishi wako tu unaonekana mtu inept upstairsSawa kamanda. Kuwa na elimu co tatizo,,,waweza kuwa na elimu na ickufae chochote,,,i think utakuwa umenipata vilivyo.Messi hafananishwiii
Ctaki mengi. Naomba unipe huyo gaucho je yumo top 5???? Na kama yumo Je!! ameshika namba ngapi?????
Tafwaadhali usirudi bila jibu!!!!! Najua hutaludi na jibu
kuna kombe gani messi kachukua gaucho hakuchukua,kinyume chake ipoje,nenda you tube kawaangalie gaucho na kakaake de lima,sio unaolewa tu na mahaba...uandishi wako tu unaonekana mtu inept upstairs
hongera kwa kuyashinda majaribu ya lugha za kuudhiUzuri wa mimi siludishi 2si wala dharau. Hivyo Cwez bshana nawewe kwanza nimeshakujua ni m2 wa aina gani.
SO NAOMBA ALIPO GAUCHO NDANI YA TOP 5!!!!! PLEASE!!!
ukija na jibu 2taendelea na mujadala!!!
kuna kombe gani messi kachukua gaucho hakuchukua,kinyume chake ipoje,nenda you tube kawaangalie gaucho na kakaake de lima,sio unaolewa tu na mahaba...uandishi wako tu unaonekana mtu inept upstairs
hongera kwa kuyashinda majaribu ya lugha za kuudhi
tatizo hujitegemei kifikra,labda umri,top 5 kwa mujibu wa nani!?Uzuri wa mimi siludishi 2si wala dharau. Hivyo Cwez bshana nawewe kwanza nimeshakujua ni m2 wa aina gani.
SO NAOMBA ALIPO GAUCHO NDANI YA TOP 5!!!!! PLEASE!!!
ukija na jibu 2taendelea na mujadala!!!
tatizo hujitegemei kifikra,labda umri,top 5 kwa mujibu wa nani!?
kama namuona bora kuliko messi,atakosekana kwenye top 5 yangu?!Yeye anataka jibu 1 tu. Je anapatikana ndani ya top five?kimya. Na kama hayupo na lwake halipo.hapo kwenye red unajikanya mwenyewe mkuu' kanakwamba umekubali gaucho siyo lolote
kama namuona bora kuliko messi,atakosekana kwenye top 5 yangu?!
,de lima,gaucho,cruyf,okocha,maradonaHa ha ha ha ha Mkuu Ilete hata iyo to 5 yako tumuone huyo gaucho.
Mkuu okocha bora kuliko messi na cr7?maradona
,de lima,gaucho,cruyf,okocha,maradona
Hii list source yake wapi au ni mtazamo wako mkuu?1-Messi
2-Maradona
3-
4-Pele
5-Zinedine
5-Requelme nk
kwa kuwa mweusi au..au kwa kuwa blatter na genge lake hawakumjali!Mkuu okocha bora kuliko messi na cr7?