Picha: Messi wa Iran

Picha: Messi wa Iran

Messi kaiga kufuga ndevu
Kamuiga nani? Na huyo aliyeigwa na Messi nae alimuiga nani? Na huyo aliyeigwa na aliyemuiga Messi nae alimuiga nani? endelea na huo mtiririko ili utupe jibu kua Messi kamuiga nani hasa?
 
Og kamuiga fake over

All the time God is good
 
Nionyeshe huyo gaucho ndani ya top 5!!!!!! Je yumo????? Nawewe uckimbie ka wenziyo had leo hawana la kujibu.

Wamekaria kusema noma mara cjui fundi. 2nataka facts hapa!!!! Co kucfia 2.

1-Messi
2-Maradona
3-
4-Pele
5-Zinedine
5-Requelme nk
huo uchafu wako messi ukalinganishe na gaucho!?..hyo orodha de lima na gaucho wasiwepo awepo rikweme!?..una umri gani?..kiwango cha elimu?
 
Sasa ww unataka kusemaje?
Haya sema unalotaka kusema
ni hivi...kama mtu halifahamu vyema jambo flani basi itumike lugha ya staha itakayoruhusu udadisi wa mtu asiyefahamu ili aeleweshwe vema!lugha ya kebehi na kuudhi na kukera hupunguza udadisi wa mtu na pengine kuendelea kubakia na ujinga wake!!!Mfano kabla ya mjadala huu nilikuwa nadhani Iraq na Iran sawa tu kama Kenya na Tanzania ila nimejikuta nachimbua zaidi na kufahamu kuwa Irani kama msemavyo ni tofauti sana...lakini ni baada ya kukomaa dhidi ya lugha za kukera za wanaofahamu kuwa Irani sio waarabu!!
 
huo uchafu wako messi ukalinganishe na gaucho!?..hyo orodha de lima na gaucho wasiwepo awepo rikweme!?..una umri gani?..kiwango cha elimu?

Sawa kamanda. Kuwa na elimu co tatizo,,,waweza kuwa na elimu na ickufae chochote,,,i think utakuwa umenipata vilivyo.Messi hafananishwiii

Ctaki mengi. Naomba unipe huyo gaucho je yumo top 5???? Na kama yumo Je!! ameshika namba ngapi?????

Tafwaadhali usirudi bila jibu!!!!! Najua hutaludi na jibu
 
kuna kombe gani messi kachukua gaucho hakuchukua,kinyume chake ipoje,nenda you tube kawaangalie gaucho na kakaake de lima,sio unaolewa tu na mahaba...uandishi wako tu unaonekana mtu inept upstairs
 
Uzuri wa mimi siludishi 2si wala dharau. Hivyo Cwez bshana nawewe kwanza nimeshakujua ni m2 wa aina gani.

SO NAOMBA ALIPO GAUCHO NDANI YA TOP 5!!!!! PLEASE!!!

ukija na jibu 2taendelea na mujadala!!!
 
Uzuri wa mimi siludishi 2si wala dharau. Cwez bshana nawewe bcoz nimeshakujua ni m2 wa aina gani.

NAOMBA ALIPO GAUCHO NDANI YA TOP 5!!!!! PLEASE!!!

ukija na jibu 2taendelea na mujadala!!!
hongera kwa kuyashinda majaribu ya lugha za kuudhi

Poa poa kamanda
 
Uzuri wa mimi siludishi 2si wala dharau. Hivyo Cwez bshana nawewe kwanza nimeshakujua ni m2 wa aina gani.

SO NAOMBA ALIPO GAUCHO NDANI YA TOP 5!!!!! PLEASE!!!

ukija na jibu 2taendelea na mujadala!!!
tatizo hujitegemei kifikra,labda umri,top 5 kwa mujibu wa nani!?
 
Back
Top Bottom