Picha: Mfahamu Adui namba moja wa Wema Sepetu

Picha: Mfahamu Adui namba moja wa Wema Sepetu

Ila later miaka iliyofata, alianza kumlipa amsaidie kumtukana Zarinah aachike na kumchafua Diamond juu. Wakashindwa..but alikomeshwa na humu pia kanyooka Imelda.
 
Wivu unawasumbua nyie Wagalatia huyo Dada ni International Celebrity ana ukwasi wa kutisha unaokaribia 295 Bilioni niambie nani wa kumkaribia hapa Bongo? Au ndo mlitaka Rose Muhhando ndo awe TOP. mmenoa!! Tunataka vijana wawe kama wewe unaetumia vipaji vyako kujitafutia pesa halali. #team_WemaFOREVER#

Duh....!!!??,
Hatari aiseee lazima kuna tatizo mahali,
mbona mnatulazimisha tuamini ule utafiti 1/4.....????
Narudia tena sio bure.
 
Wema uwa anampa hela imelda amuandike ili apate kick na jina lisipotee, ukiona habari chafu ya wema global ujue ni wale wakina Issa mnali sio Imelda
 
Kweli kabisa huyo IMELDA amezidi kumfatafata wema, asiyekaa akafanya yake kila siku kumuandikatu kwenye magazeti, me ningekuwa wema ningemtafuta mwanasheria kama MABERE MARANDO hivi alafu nikapelekeshana na shigongo kwenye vyombo vya sheria, Lile baba kama lina laana kutwa kucha kuwaandika watu wote vibaya kwenye magazeti, angekuwa nchi za ulaya wangekuwa wameshamshoot siku nyingi shigongo...
Njaa shujaa kiongozi bila kuandika Habari za watu mkono hauendi kinywan, hana tofauti na kina soud brown wazee wa shilawadu,
 
Kweli kabisa huyo IMELDA amezidi kumfatafata wema, asiyekaa akafanya yake kila siku kumuandikatu kwenye magazeti, me ningekuwa wema ningemtafuta mwanasheria kama MABERE MARANDO hivi alafu nikapelekeshana na shigongo kwenye vyombo vya sheria, Lile baba kama lina laana kutwa kucha kuwaandika watu wote vibaya kwenye magazeti, angekuwa nchi za ulaya wangekuwa wameshamshoot siku nyingi shigongo...

Ingekuwa hivyo Marekani wangesham shoot Wendy Williams na Perez Hilton siku nyingi.

Wema mwenyewe mpenda attention kwa gharama yoyote, siamini km imelda mtema anamwandika bure. Wema likes it!
 
Wagalatia tatizo wivu umewajaa yaani mmemuona dada anaanza kuingiza mamilioni kwenye shoo zake za maana mnaleta maneno. Go Go Go Dada Wema. Tupo pamoja kukutetea popote uendapo. #Ulipo_Tupo#

Wagalatia ni kina nani
 
Wivu unawasumbua nyie Wagalatia huyo Dada ni International Celebrity ana ukwasi wa kutisha unaokaribia 295 Bilioni niambie nani wa kumkaribia hapa Bongo? Au ndo mlitaka Rose Muhhando ndo awe TOP. mmenoa!! Tunataka vijana wawe kama wewe unaetumia vipaji vyako kujitafutia pesa halali. #team_WemaFOREVER#
Mdini mkubwa wewe........
 
Hao huwa wanapenda tuu kuandikwa wala sio adui yake,wewe mfano Soudy Brown anakupigia simu na anajitambulisha mimi Soudy mze wamakorokocho,then mnaanza kuongea blah blah zenu,hivi ukimkatia simu kuna dhambi au yanakuaga ni makubaliano kuwa leo nipe kiki
Alisemaga Joh Makini,msanii akiandikwa skendo yake ujue ni yy ndio kapeleka,mimi nimeopoa demu usiku nimeenda nae gheto saa nane usiku,asubuh nakuta nimeandikwa,kuna nani aliniona usiku ule kama mimi sikupiga simu,Wema anaanzaje kulala na mwandishi wa habar alafu ukamfanya mwandani wako alafu unategemea asikuandike? hukujua kuwa ni mwandishi? au yaleyale ya kubusu nge alafu akikugonga unaanzaje kulalama? UTOTO mtupu
 
Back
Top Bottom