Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hapa mmefumba macho hamjaona kilichotokea ila kazi ni kushinda kutuma tu meseji kwa wananchi kupambana na rushwa, ajabu hadi Polisi wapo hapo wanachekelea kwenye picha wamesahau wajibu wao 
--------------
Mgombea Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale amegawa kanga na yeboyebo kwa wananchi katika Mkutano wa Kampeni kusaka kura za ushindi Uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Soma pia GE2025 - Babu Tale: Mimi sina Mpinzani Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, Wapinzani hawaiwezi CCM