Patriot missile
JF-Expert Member
- Jun 16, 2024
- 280
- 423
Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WatanzaniaNi akina nani hao
Hawa ni wanasiasa wazuri, wenye kusimamia hoja za msingi kwa uimara bila woga.Taifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
View attachment 3181952
Maombi yetu ni kwa Tundu Lisu na wale wote wanaodumu katika kauli zao, watu walionyoka kwa matendo na kauli, watu wasiouza utu wao kwa kiwango chochote cha fedha.
Lazima nimtafute Lisu ili kumtia moyo, na hakuna kuondoka CHADEMA maana kuna jasho na damu yake hapo. Kuondoka ni mpaka ishindikane kabisa. Kuna wanachama wengi kuoindukia wapo CHADEMA kutokana na imani yao kwa viongozi kama Lisu na Heche.
Well.Maombi yetu ni kwa Tundu Lisu na wale wote wanaodumu katika kauli zao, watu walionyoka kwa matendo na kauli, watu wasiouza utu wao kwa kiwango chochote cha fedha.
Lazima nimtafute Lisu ili kumtia moyo, na hakuna kuondoka CHADEMA maana kuna jasho na damu yake hapo. Kuondoka ni mpaka ishindikane kabisa. Kuna wanachama wengi kuoindukia wapo CHADEMA kutokana na imani yao kwa viongozi kama Lisu na Heche.
Ya lini hiiTaifa hili limewekwa na Mungu mikononi mwenu hakikisheni mnasimama kuhesabiwa hata kama ni kwa chapa ya moto.
View attachment 3181952
Wewe ni mpumbavu mmoja hiviWatuachie kikoba chetu, waanzishe chao.
Acheni kikoba chetuWewe ni mpumbavu mmoja hivi
Duu umenikumbusha sakata na kupimana mikojo kwa amri ya mahakamaBaadhi ya WanaCHADEMA wanamtukana Tundu leo hii wakati kipindi cha Magufuli wote waliufyata wakamuachia yeye peke yake akimchana hadharani.
Mpaka ilimbidi atake kumpima mkojo maana alishangaa huyu mtu mbona haniogopi kama wenzake?