Picha: Mipaka ya nchi mbalimbali duniani

Picha: Mipaka ya nchi mbalimbali duniani

Africa
FB_IMG_1710932173716.jpg
 
😁😁anayekaa hapa anaweza kuwa abakula chakula belgium analala netherland
Nchi zao ni ndogo ndogo alafu zimeendelezwa sanaa inawezekana na zaidi ya hapo.
Yaan ukazunguka nchi 10 kwa siku moja ( wanatumia uero )
 
00501238_20180427.jpeg

Meza inatenganisha kati ya North Korea na South Korea, hii ni nyumba ambapo mazungumzo ya amani baina ya nchi hizo mbili hutokea, nyumba hujulikana kama peace house.
Upande wa kulia pichani ni NK na kushoto ni SK.
 
Kuna baadhi ya picha sio za kweli ila kwa kuwa mada imeandikwa na mtu ambaye amefanywa ajione mkubwa wa JF ngoja ninyamaze
 
Back
Top Bottom