Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

Nyumba ni asset nzuri sana mdogo wangu, hata wewe nakuasa uanze sasa. Zijenge hata kumi, uzeeni hutajuta...[emoji123]
Hizo kumi anajenga zote kwa mpigo au anajenga moja baada ya nyingine.., ikiisha na kama kuna mpangaji ndio anachukua faida huku na kujenga nyingine ? Ingawa kuna msemo Safe as a House..., lakini pia inategemea location na marketability ya sehemu husika kuna sehemu unaweza kujenga hata ukipata wapangaji huo usumbufu bora uwafukuze na ufugie kuku au buibui.., au ili nyumba isibaki kama gofu unalipa mtu ili akuchungie...
 
nyumba ni Choo mpaka asaivi hapo sijaona choo
 
Hayo maboma tofari 2000 1000 unakuja jf kwa kwamba kuna nyumba puuzi kabisa. Ramani yake haina tofauti na ya uko kazuramimba kigoma
 
Huenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women😂
Wanalia sana hao ukifariki wakipewa tu mgao basi insta watamkoma
 
Nyumba ni asset nzuri sana mdogo wangu, hata wewe nakuasa uanze sasa. Zijenge hata kumi, uzeeni hutajuta...[emoji123]
Una uhakika? Nyumba sasa ni liability maana hakuna wapangaji na kila siku kuzihudumia ambapo hizo fedha zingezalisha. Experience inaonesha hata ukipangisha, mpangaji akihama gharama za kuikarabati ni zaidi ya pango zote. Aidha nyumba hata kama haikaliki kila baada ya miaka 5 ukarabati hauepukiki. Kizungumkuti kwa upande wangu, inakuwaje superstar ajenge nyumba Sawa na sie ohehae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…