Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Teh ....Ahsante kaka yangu, kuna raia wamenitolea povu sio poa, wakati mimi nimeuliza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh ....Ahsante kaka yangu, kuna raia wamenitolea povu sio poa, wakati mimi nimeuliza tu
Cool downHehehe
Hizo kumi anajenga zote kwa mpigo au anajenga moja baada ya nyingine.., ikiisha na kama kuna mpangaji ndio anachukua faida huku na kujenga nyingine ? Ingawa kuna msemo Safe as a House..., lakini pia inategemea location na marketability ya sehemu husika kuna sehemu unaweza kujenga hata ukipata wapangaji huo usumbufu bora uwafukuze na ufugie kuku au buibui.., au ili nyumba isibaki kama gofu unalipa mtu ili akuchungie...Nyumba ni asset nzuri sana mdogo wangu, hata wewe nakuasa uanze sasa. Zijenge hata kumi, uzeeni hutajuta...[emoji123]
Naipenda Jumamosi Yangu imeshapostiwa kule entertainment...?Nyumba ni asset nzuri sana mdogo wangu, hata wewe nakuasa uanze sasa. Zijenge hata kumi, uzeeni hutajuta...[emoji123]
Nacheka povu linavyokutoka shostivipi tena??
Sawa mdogo wanguCool down
Anajenga nyumba tatu zote za nini?
Ooh hivi anao watatu kumbeKila mtoto na ya kwake
Wawili
Kilichofuata ITV sasa ni "niacheni na mishenitown wangu"..Sina hakika ila nadhani ni wawili
Hayo maboma tofari 2000 1000 unakuja jf kwa kwamba kuna nyumba puuzi kabisa. Ramani yake haina tofauti na ya uko kazuramimba kigomaMtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka sasa. Hongera sana Zamaradi
Mmh ila cheusi dawa huyu ana mkwanja sema tu hanaga show off kama akina mwafulan, na Ana akili sana aiseh , Shaban alipata mke kwa kweli , mwanamke mpambanaji hatarView attachment 1163511View attachment 1163512
I have no idea mkuu, kama unafuatilia nenda kachungulie.Naipenda Jumamosi Yangu imeshapostiwa kule entertainment...?
Wanalia sana hao ukifariki wakipewa tu mgao basi insta watamkomaHuenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women😂
K hata pussy cat anayoKuna mtu kanichekesha... Eti anajenga kwasababu K anayo
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] aisee kuna watu wana stress humu
Una uhakika? Nyumba sasa ni liability maana hakuna wapangaji na kila siku kuzihudumia ambapo hizo fedha zingezalisha. Experience inaonesha hata ukipangisha, mpangaji akihama gharama za kuikarabati ni zaidi ya pango zote. Aidha nyumba hata kama haikaliki kila baada ya miaka 5 ukarabati hauepukiki. Kizungumkuti kwa upande wangu, inakuwaje superstar ajenge nyumba Sawa na sie ohehae?Nyumba ni asset nzuri sana mdogo wangu, hata wewe nakuasa uanze sasa. Zijenge hata kumi, uzeeni hutajuta...[emoji123]
Kama k ingekuwa inajenga nyumba basi ardhi isingetosha....
M.b..o zote zingekuwa wapangaji tu!!
Wanawake wanaweza kufanya Mambo mengi ya maendeleo bila kutegemea hizo k..