Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema


Mkuu watakuita hater hawa!

Hujui TZ ukivunja facts mbele yao huo wanapaniki mpaka wanakuita hater!

Such a failed generation!
 

Mkuu,
Huenda tukawa na experience tofauti katika hili, nyumba ni asset ambayo return yake inachukua mda sana. Lakini hilo haliondoi ukweli kwamba unaweza ku-benefit na familia yako in the future.

Katika ujengaji wa nyumba, kuna factors nyingi ikiwemo ya location, kuna nyumba hazilipi just coz of location, zipo nyumba hazilipi coz management mbovu. Ukarabati wa nyumba ni lazima, lakini sidhani after 5yrs utatumia the same amount anayolipa mteja kukarabati nyumba.

Nikupe mfano, my friend alipanga nyumba(ipo kwenye potential location pale Kimara), it's a 3BR house, 6,000,000/- kwa mwaka. Baada ya miaka mitano ni roughly 30,000,000/- niambie ni ukarabati gani huo uta-cost 30,000,000 mkuu?

Niambie tu labda kwa conditions za uwekezaji bongo, japo sio katika real estate tu, hata areas nyingine huwezi kupata free ride.
 
Mkuu watakuita hater hawa!

Hujui TZ ukivunja facts mbele yao huo wanapaniki mpaka wanakuita hater!

Such a failed generation!

I wouldn't call him hater like you've said, anatoa opinion yake tu na lazima tuheshimu maoni ya mtu.

Kila kitu bongo ni kamari, Jenga nyumba ila kesho inaweza kuvunjwa na ukabaki masikini. Hizo uncertainty zipo kwenye sekta zote.
 
Nimekupata location muhimu ila kama hii ya Zamaradi ipo porini ikikamilika walinzi watatakiwa nao unawalipa. Siamini hapa JF kuna wengi ambao wanaweza kujenga (si kununua) nyumba masaki au Oysterbay ama upanga! Wengi wetu tunajenga makabe, mbagala, Mapinga, mivumoni, nk huko nyumba ya 3 bedroom ni laki 3 tu kwa bahati ya mtende kama Demiss kumpata Diamond
 
Sijui shirika la nyumba litafanya kazi gani sasa .. kama tunajenga jenga tu majumba wenyewe..
 
Wanalia sana hao ukifariki wakipewa tu mgao basi insta watamkoma
Kweli mkuu, tena wanalia mpaka wengine wanazimia ila baada ya mgawo tu wa mali utakuta wanajichukulia vibenten vyao kwenda kuzitumbua mali za marehemu.
 
Sijui shirika la nyumba litafanya kazi gani sasa .. kama tunajenga jenga tu majumba wenyewe..
Hao mkuu hawafai kabisa, unakuta nyumba ya vyumba 2 tu wanakuuzia kwa 55M. Hela ambayo ukijenga mwenyewe unapata mjengo wa vyumba 4 wenye kila kitu ndani. Bora tujenge wenyewe tu
 
Asante kwa jibu hili kuna midude inaamini mwanamke kuwa na maendeleo kupitia k.
Kama k ingekuwa inajenga nyumba basi ardhi isingetosha....
M.b..o zote zingekuwa wapangaji tu!!


Wanawake wanaweza kufanya Mambo mengi ya maendeleo bila kutegemea hizo k..
 
Siku hizi Zamaradi anafanya kazi wapi? Inaonyesha analipwa parefu kwa kipindi hiki anasimamisha mijengo miwili hongera sana kwake
 
Hongera zake sana.

Hivi wenzetu hela wanapataga wapi jamani???

Ni hustling hizi hizi???

Au sisi wengine ni Money Stuner kwa sana???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…