Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,432
- 25,124
Una uhakika? Nyumba sasa ni liability maana hakuna wapangaji na kila siku kuzihudumia ambapo hizo fedha zingezalisha. Experience inaonesha hata ukipangisha, mpangaji akihama gharama za kuikarabati ni zaidi ya pango zote. Aidha nyumba hata kama haikaliki kila baada ya miaka 5 ukarabati hauepukiki. Kizungumkuti kwa upande wangu, inakuwaje superstar ajenge nyumba Sawa na sie ohehae?
Mkuu watakuita hater hawa!
Hujui TZ ukivunja facts mbele yao huo wanapaniki mpaka wanakuita hater!
Such a failed generation!