Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka sasa. Hongera sana Zamaradi

Mmh ila cheusi dawa huyu ana mkwanja sema tu hanaga show off kama akina mwafulan, na Ana akili sana aiseh , Shaban alipata mke kwa kweli , mwanamke mpambanaji hatar
IMG_1898.JPG
IMG_1899.JPG
 
Huenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women[emoji23]

Kwan escape one ilikua ya marehem au , nitoe ushamba
 
Back
Top Bottom