Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VizuriMi sijajenga bado, lakini hata nikijenga sitaki kuonyesha Facebook.
Approach tofauti tu katika kuwasilisha hoja! Wavumilie...Ahsante kaka yangu, kuna raia wamenitolea povu sio poa, wakati mimi nimeuliza tu
Yup shaaban nadeng'u Yule ndunguye hamis ngondo au yupi??? [emoji16]kwahiyo anajenga na shabani wa mwena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka yako ya mjini
Alizaa watoto wangapi na Marehemu Ruge?Huenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women[emoji23]
Sina hakika ila nadhani ni wawiliAlizaa watoto wangapi na Marehemu Ruge?
Huenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women[emoji23]
Kama k ingekuwa inajenga nyumba basi ardhi isingetosha....atajenga ata kumi tu si k anayo? na kazi pia
Nyie Si Mnasemaga Kabisa Mnaweza Mkiwezeshwa?Kama k ingekuwa inajenga nyumba basi ardhi isingetosha....
M.b..o zote zingekuwa wapangaji tu!!
Wanawake wanaweza kufanya Mambo mengi ya maendeleo bila kutegemea hizo k..
Stupid.Mtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka sasa. Hongera sana Zamaradi
Mmh ila cheusi dawa huyu ana mkwanja sema tu hanaga show off kama akina mwafulan, na Ana akili sana aiseh , Shaban alipata mke kwa kweli , mwanamke mpambanaji hatarView attachment 1163511View attachment 1163512
Kama huishi, nyumba ni liability.Duh sijui umuch know,hater,umasikini,rohombaya..........
nyumba iilivo asset,unasema zote 3 za nini,tena 3 tu?............
Mwache Maskini huyo akomae na instagram!Duh sijui umuch know,hater,umasikini,rohombaya..........
nyumba iilivo asset,unasema zote 3 za nini,tena 3 tu?............
HeheheMwache Maskini huyo akomae na instagram!
vipi tena??Hehehe