Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

Picha: Mjengo Mpya wa Zamaradi Mketema

Mtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka sasa. Hongera sana Zamaradi

Mmh ila cheusi dawa huyu ana mkwanja sema tu hanaga show off kama akina mwafulan, na Ana akili sana aiseh , Shaban alipata mke kwa kweli , mwanamke mpambanaji hatarView attachment 1163511View attachment 1163512

Anajenga Nyumba, Gereza, Banda la Kuku au Kibanda tu Mkuu?
 
Ni ardhi na siyo nyumba ambayo ni asset. Wengi wanaoongea kuwa nyumba ni asset, hawana au wanafananisha location kati ya kariakoo na buza.
Factor hapo ni ardhi/kiwanja. Kwa sie tuliorithi nyumba kadhaa, nakuhakikishia kuwa tumepata somo kubwa.
Hatuwezi kuishi kwenye hizo nyumba kwani maisha yangu si kama ya wazazi wangu.

Nyumba ya milioni 200 mnapangisha laki 2 kwa mwezi mpaka laki tatu.
Kurudisha hela ni miaka 80 mpaka 100. Hapo mshakufa.
Ila kama ukiweka milioni 200 kwenye hatifungani unapata zaidi ya mil. 25 kwa mwaka.
Na baba katuambia nyumba zake tusiuze na mashangazi wanatusisitizia hilo.
Bado huwa natamani ningerithishwa heka 10 madale au boko enzi hizo ilikuwa porini kuliko nyumba za temeke.
Trust me on this.
Now you are talking!!! Mijumba ipo inazidi kutunyonya na wala siyo tu Dar! Kwa sasa hakuna hela hata wapangaji wamepotea. Hata viwanja ni galegale lukuvi anazidi kutukamua tu. It’s pathetic
 
Nimekupa like mkuu,ngoja nisitieneno tu
Duh sijui umuch know,hater,umasikini,rohombaya..........
nyumba iilivo asset,unasema zote 3 za nini,tena 3 tu?............
 
Mtangazaji na mjasiriamali maarufu mjini, ambaye pia ni mzazi mwenzie na marehemu ruge, amepost kwneye ukurasa wake wa instagram, project yake mpya ambayo ni ujenzi wa Nyumba yake ya tatu mpaka sasa. Hongera sana Zamaradi
Mmh ila cheusi dawa huyu ana mkwanja sema tu hanaga show off kama akina mwafulan, na Ana akili sana aiseh , Shaban alipata mke kwa kweli , mwanamke mpambanaji hatarView attachment 1163511View attachment 1163512
angeweza kujenga kubwa na nzuri zaidi sema 40 ya salah mwanae imemcost siskii tena kuhusu yule mtoto
 
Kwan anafanya kazi gan inayompa kipato hiko?... Mda mwengne ni muhim serikali kufatlia mapato yao hawa
 
Huenda alipewa hisa za escape one kwaajili ya kuendelea kuwalea watoto wa Marehemu, by the way never underestimate the power of women[emoji23]
Na kama hana show off kwanini apost kwenye instagram page,anajua kwa kufanya hivyo the message is already sent..
 
Back
Top Bottom