Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,470
- 722
Picha ziko za aina mbili.
Picha zilizosimama kama picha unazopiga za kawaida ambazo husafishwa/huchapishwa kwenye karatasi ya picha kwa size tofauti eg passport size na zingine kubwa ndio picha mnato-still pictures.
Aina nyingine ni picha zinazotembea ambazo hupigwa kwa mfululizo na kuonyeshwa kwenye screen- video/filamu ndio moving pictures.
Ndiyo maana yake, Mkuu MM.kwa hiyo hizo picha za mwanzo ndio zinaitwa "mnato" siyo?
Ndiyo maana yake, Mkuu MM.