Picha mnato ni zipi?

Picha mnato ni zipi?

Kwa kadiri ninavyojua ni picha ambazi zimenata hazimove kabisa kwa kimombo "still picture" unless tunazungumzia picha zinazonatanata. Hivi mtu anaweza kusema hadharani "nipige picha mnato"? Mmmh
 
Picha ziko za aina mbili.
Picha zilizosimama kama picha unazopiga za kawaida ambazo husafishwa/huchapishwa kwenye karatasi ya picha kwa size tofauti eg passport size na zingine kubwa ndio picha mnato-still pictures.
Aina nyingine ni picha zinazotembea ambazo hupigwa kwa mfululizo na kuonyeshwa kwenye screen- video/filamu ndio moving pictures.
 
kwa hiyo hizo picha za mwanzo ndio zinaitwa "mnato" siyo?
 
Ndiyo maana yake, Mkuu MM.

Nashukuru nyote kwa ufafanuzi maana nilishakaribia kuaibika mbele ya rafiki zangu niliposema "picha mnato" nikimaanisha "still pictures".Kuna mtu akasema nisithubutu kusema hivyo mbele za watu! nilishangaa sana na nilipotaka anifafanulie kwanini alikataa kata kata akisema ni neno baya!

Mnadhani kwanini rafiki yangu alinikanya nisiseme hivyo mbele ya watu? Je kuna maana iliyojificha humo?
 
TM isipokuwa vinginevyo umeamua kuitafuta maana iliyojificha; sidhani kama ipo.

Vipi kuhusu "moving pictures" k.v. video na filamu? Ni sahihi kuita "picha nyongefu"
 
mimi kwa kweli sijisikii comfortable kuzungumzia mambo ya picha "mnato".. I'm sorry folks. Kuna tatizo mahali fulani msikiko wake.
 
haaaaaaaaa haaaaaaaaaa

the moment watu wakisikia mnato......
hisia zinabadilika kabisaaa

haa haaaa
 
Picha mnato ni still pictures..... kwa bahati mbaya kwa kiswahili ina-sound vibaya but hiyo ndo lugha yetu
 
Back
Top Bottom