Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #221
Acha roho mbayaHuzuni wakati hata marehemu haujawahi kumuona! Tukiishi hivyo basi muda wote tutakuwa tunalia kwa kufiwa.
Onyo: Msitumie pesa za udokozi kwenda Hijja.
Nilisha kueleza siku nyingi humu, wewe ni mgonjwa wa akili.Acha ujinga wako hapa.
Mgonjwa ni wewe.Nilisha kueleza siku nyingi humu, wewe ni mgonjwa wa akili.
Kwa nini hutaki kuelewa. Wewe ni mgonjwa wa akili.Mgonjwa ni wewe.
Ata Wangekua wanakalia jamvi pia ungesema.Makochi ya kifalme opsss kiarabu kisultani. Muda wao kufaidi
Ila we jamaa kweli jauπππππππNdio Mwenyewe. Ni Binti mwenye hekima ,busara , unyenyekevu,upendo na ukarimu mkubwa sana. Hana makuu wala majivuno mtoto wa watu. Hana makidai wala dharau . Ni mpole sana huyu dada hata katika kuongea .siyo mtu wa kujikweza wala kiburi. Ukianza kumsikiliza akiongea unakua unatamani aendelee tu kuongea.
Khee! Hili nyangarakasha bado lipo!Acha roho mbaya
Wewe ndiye mkeweMke wake mwingine yupo wapi au yeye hastahili kupewa pole?