Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM walikopi na kupesti ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 aliyoinadi Dr. Slaa. Ila wote tunanufaika na miradi kama hii ambalo ni jambo jema kabisa. Upinzani siyo uadui.
UongoCCM walikopi na kupesti ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 aliyoinadi Dr. Slaa. Ila wote tunanufaika na miradi kama hii ambalo ni jambo jema kabisa. Upinzani siyo uadui.
Chadema walisemea wapi? Siyo mtu ukilalala na njaa ukiota ndoto za kijinga ukiamka unakuja kuanzisha thread hapa.
Ukiacha heading, picha haina maelezo. Ninaamini utapata maswali mengi hapa.
Nakuambia, subirini ripoti ya CAG tuje tuambiwe shirika linaendeshwa kwa hasara. Kwani habari ya ndege pamoja na mbwembwe zote za kuzipokea, tumeishia wapi?? Tena walitangaza na kutoa gawio kwa serikali, kumbe geresha tu..!! TIME WILL TELL. ITUNZE HII, CAG ATAKUJA KUKUAMBIA MUDA SI MREFU..!!
R.I.P #CHUMAJPM#
MBOWE NA LISSU NI WAPUMBAVU HUO NDIYO UKWELI ...TUJIULIZE WATU WALIO PINGA HII MIRADI WAKISHIKA NCHI WAO WATAFANYA NINI IKIWA WALIPINGA MIRADI KUJENGWA ...KWA SASA HIVI TZ HAKUNA UPINZANI NAMSHAURI BWANA POLEPOLE ARUDI NYUMBANI KUANZISHA CHAMA TUTAMUUNGA MKONO NA KUMPA MWONGOZO AMBAO CCM HAKITA WEZA KAMWE KUBAKI MADARAKANI KAMA HUO MWONGOZO UKIFUATWA ..HAKUNA TOFAUTI YA AKILI KATI YA NAPE NA JANUARY NA MBOWE NA LISSU WOTE AKILI ZAO FOOLISH
Kuna bango linasema stesheni ya Dodoma. Nahisi ni Stesheni mpya ya treni. Kipya kinyemi siku zote.Ukiacha heading, picha haina maelezo. Ninaamini utapata maswali mengi hapa.
Hata sisi tunajua kusoma, hayo maandishi tunayaona sana. Yawezekana hata swali lililoongelewa hujalielewa.Kuna bango linasema stesheni ya Dodoma. Nahisi ni Stesheni mpya ya treni. Kipya kinyemi siku zote.
Ila tuna tatizo gani na miti?
Amandla..
Ukweli ni upi?Uongo
Kwa maadili ya mawasiliano ya kimtandao, ukiandika kwa herufi kubwa unakuwa unaropoka au unapiga kelele kama kipaza sauti cha machinga kinapiga kelele badala ya kutangaza biashara.MBOWE NA LISSU NI WAPUMBAVU HUO NDIYO UKWELI ...TUJIULIZE WATU WALIO PINGA HII MIRADI WAKISHIKA NCHI WAO WATAFANYA NINI IKIWA WALIPINGA MIRADI KUJENGWA ...KWA SASA HIVI TZ HAKUNA UPINZANI NAMSHAURI BWANA POLEPOLE ARUDI NYUMBANI KUANZISHA CHAMA TUTAMUUNGA MKONO NA KUMPA MWONGOZO AMBAO CCM HAKITA WEZA KAMWE KUBAKI MADARAKANI KAMA HUO MWONGOZO UKIFUATWA ..HAKUNA TOFAUTI YA AKILI KATI YA NAPE NA JANUARY NA MBOWE NA LISSU WOTE AKILI ZAO FOOLISH
Ubarikiwe sana msomi.Hata sisi tunajua kusoma, hayo maandishi tunayaona sana.
Mhnn..!!Ubarikiwe sana msomi.
Amandla...
Walikuwa wanadai ni maendeleo ya vitu na sio watu