Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

Kwa maadili ya mawasiliano ya kimtandao, ukiandika kwa herufi kubwa unakuwa unaropoka au unapiga kelele kama kipaza sauti cha machinga kinapiga kelele badala ya kutangaza biashara.
Kumbe nimepatia 😁
 
CCM walikopi na kupesti ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 aliyoinadi Dr. Slaa. Ila wote tunanufaika na miradi kama hii ambalo ni jambo jema kabisa. Upinzani siyo uadui.
SASA kama walikopi Kwenye ilani ya Chadema mbona mradi waliupinga.
 
Nakuambia, subirini ripoti ya CAG tuje tuambiwe shirika linaendeshwa kwa hasara. Kwani habari ya ndege pamoja na mbwembwe zote za kuzipokea, tumeishia wapi?? Tena walitangaza na kutoa gawio kwa serikali, kumbe geresha tu..!! TIME WILL TELL. ITUNZE HII, CAG ATAKUJA KUKUAMBIA MUDA SI MREFU..!!
Sio kila mradi lazima uendeshwe kwa faida,kasome uchumi kidogo.kuna miradi lazima iwepo kufacilitate other activities.
 
Back
Top Bottom