Picha: Moja ya megastructures ambazo CHADEMA walisema hazina manufaa kwa taifa lakini shujaa hayati JPM alihakikisha zitakamilika

Nakuambia, subirini ripoti ya CAG tuje tuambiwe shirika linaendeshwa kwa hasara. Kwani habari ya ndege pamoja na mbwembwe zote za kuzipokea, tumeishia wapi?? Tena walitangaza na kutoa gawio kwa serikali, kumbe geresha tu..!! TIME WILL TELL. ITUNZE HII, CAG ATAKUJA KUKUAMBIA MUDA SI MREFU..!!
 
MBOWE NA LISSU NI WAPUMBAVU HUO NDIYO UKWELI ...TUJIULIZE WATU WALIO PINGA HII MIRADI WAKISHIKA NCHI WAO WATAFANYA NINI IKIWA WALIPINGA MIRADI KUJENGWA ...KWA SASA HIVI TZ HAKUNA UPINZANI NAMSHAURI BWANA POLEPOLE ARUDI NYUMBANI KUANZISHA CHAMA TUTAMUUNGA MKONO NA KUMPA MWONGOZO AMBAO CCM HAKITA WEZA KAMWE KUBAKI MADARAKANI KAMA HUO MWONGOZO UKIFUATWA ..HAKUNA TOFAUTI YA AKILI KATI YA NAPE NA JANUARY NA MBOWE NA LISSU WOTE AKILI ZAO FOOLISH
 
Ukiacha heading, picha haina maelezo. Ninaamini utapata maswali mengi hapa.
Kuna bango linasema stesheni ya Dodoma. Nahisi ni Stesheni mpya ya treni. Kipya kinyemi siku zote.

Ila tuna tatizo gani na miti?

Amandla...
 
Kuna bango linasema stesheni ya Dodoma. Nahisi ni Stesheni mpya ya treni. Kipya kinyemi siku zote.

Ila tuna tatizo gani na miti?

Amandla..
Hata sisi tunajua kusoma, hayo maandishi tunayaona sana. Yawezekana hata swali lililoongelewa hujalielewa.
 
Kwa maadili ya mawasiliano ya kimtandao, ukiandika kwa herufi kubwa unakuwa unaropoka au unapiga kelele kama kipaza sauti cha machinga kinapiga kelele badala ya kutangaza biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…