Nimetoka hapo leo asubuhi kumsindikiza jamaa yangu,hiyo kitu kuna vi airport mbuzi vingi tu vya mikoa haifikii,hiyo ni another level,kwakweli Magufuli aheshimiwe na kuenziwa,ni kali sana,maana nilivyonogewa nikajikuta naongea kizungu mle ndani wakati hata shule yenyewe ilinipiga chenga..
Kumbe nimepatia 😁Kwa maadili ya mawasiliano ya kimtandao, ukiandika kwa herufi kubwa unakuwa unaropoka au unapiga kelele kama kipaza sauti cha machinga kinapiga kelele badala ya kutangaza biashara.
Habari za Ilemela?LUMUMBA Kwa kichoko sana Yani kuitaja Chadema hapa jukwaani ushalamba buku7 lushindo kabisa
Tunaendelea kupiga mishe kama Kawa.Habari za Ilemela?
Mnamsindikiza Dj?Tunaendelea kupiga mishe kama Kawa.
Yote kheri hata mama Yako akijipendekeza tunamsindikiza tuuMnamsindikiza Dj?
SASA kama walikopi Kwenye ilani ya Chadema mbona mradi waliupinga.CCM walikopi na kupesti ilani ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 aliyoinadi Dr. Slaa. Ila wote tunanufaika na miradi kama hii ambalo ni jambo jema kabisa. Upinzani siyo uadui.
Umevaa bikini?Yote kheri hata mama Yako akijipendekeza tumsindikiza tuu
Nimevaa boxa ndonga imetuna baraaukipitia kalibu kutumika ni lazima.Umevaa bikini?
Siyo CHADEMA tu hata CCM wenzake
Sio kila mradi lazima uendeshwe kwa faida,kasome uchumi kidogo.kuna miradi lazima iwepo kufacilitate other activities.Nakuambia, subirini ripoti ya CAG tuje tuambiwe shirika linaendeshwa kwa hasara. Kwani habari ya ndege pamoja na mbwembwe zote za kuzipokea, tumeishia wapi?? Tena walitangaza na kutoa gawio kwa serikali, kumbe geresha tu..!! TIME WILL TELL. ITUNZE HII, CAG ATAKUJA KUKUAMBIA MUDA SI MREFU..!!
Sikubaliani na hoja yako.Sio kila mradi lazima uendeshwe kwa faida,kasome uchumi kidogo.kuna miradi lazima iwepo kufacilitate other activities.