Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Hawa wadudu wanatuendesha kila kukicha.
Umewahi kukutana na kauli za kukera, kuvunja moyo ama kuujaza moyo hasira, kukatisha tamaa kutoka kwa mwanamke?
Baadhi ya kauli ambazo zinanikera ni ile ya "Halafu baby, nimechukua hela yangu nimesukia nywele za elfu arobaini, nimenunua lotion ya elfu ishilini. Halafu mchango wa birthday ya Mama Nurhat nimetoa 20k. Nakudai elfu themanini. Uniwaishie basi hadi kufikia kesho jioni, si unajua tena ni hela ya watu nadaiwa?
Hata kama azungumze akiwa kayalegeza vipi macho yake, nimtazamapo namuona anafanania hivi.
Huwa unakutana na kauli ipi kwa mwanamke inayokufanya kuwa bored? Na je, huwa unamtizama kwa mwonekano upi? Weka picha