Picha: Moyo wa mwanaume utabaki kuwa mgumu kama jiwe

Huwa ananiambia I love you my darling nakasirika sana, ananiongeleshaje makorokocho?
 
Mkeo akufulie bure, akupe mbususu bure, akupe watoto bure, akupikie bure alf bado unamuona ovyo.
Nenda kazitafute hizo mambo huko nje uone itakuaje
Huyu mwanamke anafanya vimbwanga kwa kuwa ni mke wa nje. Angekuwa ni mke mkuu ningekuwa nishatimua hiyo ng'ombe uko

Sijawahi kubambikiziwa madeni ya from no where na ma hawala huko nje. Huwa wananiomba on time. Kama sina ndio basi
 
Hyo sawa, Lkn sio kusema mwanamke anampiga mumewe vizinga na nin, si sawa.
Hao wanawake mnaowaacha humo ndani na watoto, hata mshahara wa mwalimu mkuu bado hautaweza kumtosha kwa kazi hyo ya kukaa nyumbani na kuihudumia familia.
 
Tabia ya kusuka kila wiki nywele za gharama, mi lotion ya gharama. Kwani anataka kumvutia nani?
 
A
Tabia ya kusuka kila wiki nywele za gharama, mi lotion ya gharama. Kwani anataka kumvutia nani?
Achana na malaya unapoteza Muda na Pesa zako kudate na Malaya hiyo kumaa yake chafu ndo inakusaidia Nini ?: Yaani pesa yako unampa mtu kisa Sehemu yake chafu ya mkojo kuweni serious na Pesa saidia wahitaji na sio Malaya wa Tanzania
 
Hyo sawa, Lkn sio kusema mwanamke anampiga mumewe vizinga na nin, si sawa.
Hao wanawake mnaowaacha humo ndani na watoto, hata mshahara wa mwalimu mkuu bado hautaweza kumtosha kwa kazi hyo ya kukaa nyumbani na kuihudumia familia.
Huwa nafikiria sana majukumu ya mwanamke nyumbani.
Bado usiku, saa 4 jamaa anataka mzigo, saa 8 akienda kukojoa jamaa anataka mzigo, akigeuka tu ni mzigo. Asubuhi kabla ya kwenda job anapiga mzigo.
Mm mwenyewe nikitoka job, nikiwa nimechoka, huwa sitaki mwanamke aniguse.
Hongereni wanawake
 
Wanawake wasiojituma mm kwangu nawachukulia kenge tu. Na asilimia kubwa wanaosema tafuta pesa ni masikini wa kutupa mtu hana kipato alafu anajitutumua kusuka uchafu wa 40k wanawake mkiacha ujinga ndipo mtakapoona faida ya haki sawa
 
nimejikuta nacheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣😂😂 ze boss lady
 
A

Achana na malaya unapoteza Muda na Pesa zako kudate na Malaya hiyo kumaa yake chafu ndo inakusaidia Nini ?: Yaani pesa yako unampa mtu kisa Sehemu yake chafu ya mkojo kuweni serious na Pesa saidia wahitaji na sio Malaya wa Tanzania
Aisee, tusifike sehemu ya kutukana viungo vya watu. Sote ni binadamu hamna aliyebora na umetokea kwenye kiungo hichohicho, punguza boss.
 
Asante sana mkuu
 
Ananifanyia mengi mazuri kanizalia watoto ananifulia, ananisafisha na kunishauri, ananiandalia maji ya kuoga asubuhi ananiandalia na chai napata kifungua kinywa, naagwa Kwa busu murua na sauti nzuri kazi njema Mume wangu take care of yourself, nakuta jioni watoto wametoka shuleni wamepikiwa chakula namm changu kipo mezani, nyumba yote safi, miradi yangu kama shambani na biashara zote zinasimamiwa na yeye then leo hii mwanamke asiwe na thamani nitamheshimu na kumtunza mwanamke wa maisha yangu milele[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…