Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida


[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]






[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mmmmh full teja.....hata akivua nguo huyu hana madhara hashtui kabisa hata miss sinza anamzidi lol.....kachokaaaaa
 
picha yenyewe haina hata mvuto + chunusi + alivyo = full kituko
 
Huyu atakuwa teja. hayo mapozi ya kwenye muvi za exi.. alafu mi na ukame wote sjadinda. Kuna siku nilipishana nae akishuka stejini oysterbay shoping center kalinipita kwa dharau ako na miharufu yake mpaka nikajiskia kichefuchefu nikatema mate kwenye glass..
 
Ana fanana na "mwanadaresalama" huyu...zahiri ali zoro kala hasara hapa.
 
Hiyo pic ya pili labda hizo nyingine za kawaida
 
Dah aisee hili binti ni baya jamany cc sitti mtemvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…