Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

Picha mpya alizotoa mwanamuziki Maunda Zoro ni shida

Huyu mzee nilikuwaga namwona kama ni mtu wa ajabu ila kuna siku yeye na banana walikuwa wanahojiwa mkasi ndipo nilimwelewa alionekana kukerwa na scandal za binti yake ikiwemo kupata mimba nyumbani alikuwa anaongea hadi banana anamzuia.
Masikini banana itakuwa inamuuma kuona dadake anafanya mambo ya ajabu.
Hakuna anayependa kuona binti yake akiharibika akiwa Nyumbani, mzee anajua heshima ya ndoa ambayo binti yake alitakiwa kuwa nayo.
 
Huyu dada kaimba wimbo mmoja na dully Skyes wa matusi matusi tu
 
I dont wanna discredit her, but she looks like a TEJA to me...
 
Kazuri!she's naturally beauty,hizo make up na carolight mnazotaka awe mzuri wapendeni haohao kwangu ni mzuri.
 
Maunda njoo chukua dawa 😝: i will gv u Bioclinic day/night, tonner ya tea tree na even out ikijirudia hiyo hali unagundu.

Hahahaa,oriflame moja👍👍👍👍
 
Back
Top Bottom