Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba yake anasuka na kuvaa eleni
Hakuna anayependa kuona binti yake akiharibika akiwa Nyumbani, mzee anajua heshima ya ndoa ambayo binti yake alitakiwa kuwa nayo.Huyu mzee nilikuwaga namwona kama ni mtu wa ajabu ila kuna siku yeye na banana walikuwa wanahojiwa mkasi ndipo nilimwelewa alionekana kukerwa na scandal za binti yake ikiwemo kupata mimba nyumbani alikuwa anaongea hadi banana anamzuia.
Masikini banana itakuwa inamuuma kuona dadake anafanya mambo ya ajabu.
Sio vipesa hao sasa ivi washakuwa matajiri .....TRH amenunu nyumba yao ya kurasini mil 750...so mgao aliopata ndio anasumbulia mjini
TRH ndio nani mkuu?
hebu weka ushahidi hapa
Sio vipesa hao sasa ivi washakuwa matajiri .....TRH amenunu nyumba yao ya kurasini mil 750...so mgao aliopata ndio anasumbulia mjini
I dont wanna discredit her, but she looks like a TEJA to me...
Yani na vipesa wanavoshika kununua hata dawa ya chunusi hawawezi!
Maunda njoo chukua dawa 😝: i will gv u Bioclinic day/night, tonner ya tea tree na even out ikijirudia hiyo hali unagundu.
I dont wanna discredit her, but she looks like a TEJA to me...
wakubwa wanafaidi dah...!
Mtu una upaja kama beberu,lakini kutwa kushinda na vibukta tu.