PICHA MPYA -kifesi(HOD) KAZINI


jidhungu mchezo? angalia neno that's why alivyoliandika, huyu pimbi anafosi umaarufu ni balaa
 
jidhungu mchezo? angalia neno that's why alivyoliandika, huyu pimbi anafosi umaarufu ni balaa

Tehe tehe teheeee amepambana sana kijana huyu mpaka amekwiva kwenye kidhungu hata boss wake kawa vizuri pia kidhunguni itakua wameanzisha darasa la kidhungu kwa WCB wote maana post zao recently ni lugha ya kigeni hadi raha.
 
mamakibunju nakukubali sana uwa unajichimbia ila ukiibuka unakuja na vitu hoot..hii niliwahi kusikia yani alikula kichambo heavy huyu mtoto, sema tu ana moyo wa uvumilivu maana alikula maneno mazito kama ndio mie hata hiyo wasafi nahama
 
Last edited by a moderator:
nyie mnaosema sijui natafuta umaarufu cjui nini,MNAKAZWA NINI??? kwa umaarufu upi unaouzungumzia...me nafanya yangu,kwa mapenz yangu,yani nkile najiskia ndio nafnya bila kujali kuna ushuzi utasema nini..we kama huwez kuweka picha zako ni tatizo lako mwenywe usifanye kuwa ni sheria ya jf
ningekuwa sina hadhi hiyo mnayoisema msinggefungua,coz mtu hawez kuwa interested na kitu ama mtu asiemfaham..unataka kufaham nini kinaendelea ma leo nimeandika nn coz me ni celeb wako..pumbafu nimemaliza ,na usije ukategemea siku moja ntastop kufanya anythng eti kisa umeongea shombo,huwa sijari maneno hta siku moja tena maneno ya uongo????!!!!!(hii ni kwa wote wanodiss ujinga,si kwa marafiki zangu waelewa)
 
na ukiona mtu anasema vibaya kuhusu wewe,jua anakukubali na kakuona upo zaidi yake hna tu cha kukufanya anaishia kuwa hater na kukusema vibaya
 
Umetishaaaaa H.O.D,vipi mbona hujamjibu mama kibunju ni ya kweli hayo?
 

vp upo Nigeria na wewe au? Tutumie bhas picha za matukio ya uko please.
 
jidhungu mchezo? angalia neno that's why alivyoliandika, huyu pimbi anafosi umaarufu ni balaa



Pia alitakiwa kuandika "to" kabla ya fall in love inaonekana grammar bado kidogo
 


Mkuu hapa ni jf hivyo kila uandikacho kinatuhusu sote wana jf ndo maana tunauliza je hizo picha unatuwekea ili iweje?

je yatupasa kufanya nini baada ya kuziona??? swali jepesi sana mkuu...

Ahsante kwa mda wako unaopoteza nasi hapa JF....
 
na ukiona mtu anasema vibaya kuhusu wewe,jua anakukubali na kakuona upo zaidi yake hna tu cha kukufanya anaishia kuwa hater na kukusema vibaya

Kweli kabisaa Kifesi yaan we tundika picha tu yoyote utakayojisikiaa na siku ukimkamata Evelyn Salt mpige picha tundika hapaa kweli kabisa wanakuonea wivu wewe kwa vile ni celebrity wa Jamiii na mitandao mingine we usijali hata ukiamua kutundikaa kipindi cha maisha yako humu tundikaaa tu banaaa wala usijaliii BASII SAWAAAA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…