Maana kama kunangwa imetosha jamani imefika time apewe anacho stahili kama kuna mtu ana profile yake basi afunguliwe thread as celebrity na yeye ili YATIMIE na ikitokea kaonekana sehemu amefanya jambo lolote basi nae aanzishiwe uzi pia ameshakua seleburiti huyu,alafu leo kaandika kidhungu murua kabisa ila tunavunga hatujaona ilibidi tumpongeze kabadilika kwenye uandishi.
jidhungu mchezo? angalia neno that's why alivyoliandika, huyu pimbi anafosi umaarufu ni balaa