Picha mpya ya Lucy Komba

Picha mpya ya Lucy Komba

Wazingu wanapenda wasichana waki Africa ambao sisi tunawaona wabaya lakin wao wanawaona warembo sana
 
Mmh mbona yupo vizuri tu tatizo mmeshazoe wale wa mikorogo namakeup muda wote
 
Mmh jaman huyu cheusi dawa jamani ndo kutuvalia nini hivi kama anaishi Tandale kwa tumbo wakati yupo Denmark , mxieew , Yan shoga angu mshamba huyu mpaka anaudhi Sijui lipoje mxieew, minguo gan hiyo kama unaenda kwenye msiba mxiee View attachment 1162860
Hilo vazi la watu wenye hadhi na pesa limenikumbusha ex wangu mmoja tuliyeachana wakati tumeenda China kununua viatu vya send off yake
 
Back
Top Bottom