Picha mpya ya Lucy Komba

Wazingu wanapenda wasichana waki Africa ambao sisi tunawaona wabaya lakin wao wanawaona warembo sana
 
Mmh mbona yupo vizuri tu tatizo mmeshazoe wale wa mikorogo namakeup muda wote
 
Hilo vazi la watu wenye hadhi na pesa limenikumbusha ex wangu mmoja tuliyeachana wakati tumeenda China kununua viatu vya send off yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…