Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

Picha Mpya ya wolper yazua gumzo mitandaoni.

Namkubali sana uyu Dada!
Maana anamwili mkubwa pia ana umbo zuri.Mana madem wengi wa kibongo wafupi.Dem mzuri lakini mfupi.
Au unakuta sa nyengine mwembamba Basi.
Lakini hili toto mi naweza honga million
chura tu ndo hana kasoro tayari
 
Namkubali sana uyu Dada!
Maana anamwili mkubwa pia ana umbo zuri.Mana madem wengi wa kibongo wafupi.Dem mzuri lakini mfupi.
Au unakuta sa nyengine mwembamba Basi.
Lakini hili toto mi naweza honga million
khaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hii ndio picha ya wolper inayoongoza kupostiwa kwenye mitandao ya kijamii kama instagram na fb, picha hii inaonekana kuwavutia wengi zaidi ,salute zimfikie wolper wereva.... I phone 7 plus wereva kwenye ubora wake
186a334f4de3b9fc823e156fd2c605b4.jpg
Sasa hivi hakuna binti anayeweza kupiga picha halafu asionekane mzuri...

Shida ni pale unapomuona ana kwa ana unaweza kukimbia.
 
Mkikutana live uje utupe mrejesho. Usiamini picha unazoziona kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom