Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.

Umeona mbali
 
Kichaa cha kiumbe binadamu kwa kisingizio cha mila na desturi ... Thamani ya UTU inapopimwa kwa vipande vya fedha
Wazazi wamekosea bora wangemtoa kwa mahari ya kawaida hata mimi ningeenda kumchukua
 
yani gharama yote hiyo ni bikira tu au kuna jambo jengine,mbona mi nimevibikiri vibinti karibu vinne na ni virembo hasa nina mpango wa kukaoa kamoja na mahari haitazidi 1m
Wacha dhalau dogo.
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
hahaa
 
Hakyanani jamaa akimaliza bao la kwanza atazijutia sana mali zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…