Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu wakizaa mtoto lazima awe zaidi ya hashimu tabita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha inachelesha lakin huo ndio ukweliSiyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Ngoja wajeSiyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
Hahaha k mnato na umeshaambiwa ni bikraatakuwa ana K mnato huyo dada sio bure
Duh ana urembo gani huyo Dada mbona wa kawaida tu, sasa ikitokea wameachana mchizi si ataenda kudai mahari yake [emoji4] [emoji4]ALIPA MAHARI NG'OMBE 530, MAGARI 3 V8 NA MIL 22
Mfanyabiashara aitwaye Mr. Kok Alat (pichani mwenye suti nyeusi) amefanikiwa kuwashinda wanaume wengine watano akiwemo Gavana wa Jimbo hilo waliotaka kumuoa binti wa miaka 17 aitwaye Nyalong Ngong Deng Jalang kutoka Sudan ya Kusini kwa Kulipa mahali ya Ng'ombe 530 zenye thamani zaidi ya mil 450 na magari Matatu Toyota Land Cruiser V8 yenye thamani ya Tshs 750 milioni na $ 10,000 au Tshs Milioni 22.
Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.
"Baada ya wapinzani wake nao kufika dau la NG'OMBE 520 na magari matatu aina ya V8, Mr. Kok Alat alifunga mjadala huo na kutoa NG'OMBE hao 530, V8 tatu na Dola 10,000 na kutishia kuwa kama wataendelea kumpinga atatoa mahari hizo Mara mbili (NG'OMBE 1060, V8 sita, $ 20,000) na kuongeza ndege aina ya Jet aliyokuja nayo.
Hivyo amefanya binti huyo kuwa bibi harusi mwenye gharama kubwa barani Africa..View attachment 925938View attachment 925939
Mshkaji akitaka kumpiga kiss itabidi atafute stuli[emoji4] [emoji4] vinginevyo atakua anakiss shingo
Kichaa cha kiumbe binadamu kwa kisingizio cha mila na desturi ... Thamani ya UTU inapopimwa kwa vipande vya fedhaALIPA MAHARI NG'OMBE 530, MAGARI 3 V8 NA MIL 22
Mfanyabiashara aitwaye Mr. Kok Alat (pichani mwenye suti nyeusi) amefanikiwa kuwashinda wanaume wengine watano akiwemo Gavana wa Jimbo hilo waliotaka kumuoa binti wa miaka 17 aitwaye Nyalong Ngong Deng Jalang kutoka Sudan ya Kusini kwa Kulipa mahali ya Ng'ombe 530 zenye thamani zaidi ya mil 450 na magari Matatu Toyota Land Cruiser V8 yenye thamani ya Tshs 750 milioni na $ 10,000 au Tshs Milioni 22.
Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.
"Baada ya wapinzani wake nao kufika dau la NG'OMBE 520 na magari matatu aina ya V8, Mr. Kok Alat alifunga mjadala huo na kutoa NG'OMBE hao 530, V8 tatu na Dola 10,000 na kutishia kuwa kama wataendelea kumpinga atatoa mahari hizo Mara mbili (NG'OMBE 1060, V8 sita, $ 20,000) na kuongeza ndege aina ya Jet aliyokuja nayo.
Hivyo amefanya binti huyo kuwa bibi harusi mwenye gharama kubwa barani Africa..View attachment 925938View attachment 925939
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sanaSiyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala