Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Hapo ungemalizia kuwa deni la mahali halifungi na kwa kawaida halilipwi.
Kwahio bwana harusi alitoa ngombe 2 na akatanguliza lita 5 za petroli kwa ajili ya hizo v8 na usd 100 kama kianzio.

Kwahio bwana harusi anadaiwa ngombe 528 na v8 3 na usd 9900 ambazo hana mpango wa kuzimalizia maana deni la mahali haliishagi
 
Mbaya zaidi watu wa Sudan kusini hukeketa wanawake, hivyo binti kitandani hasisimki.
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
Hahahaha inachelesha lakin huo ndio ukweli
 
Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
[emoji1] [emoji1] [emoji1] . Ngoja waje
 
Huyu Mr Kok ana undugu na Konk, Konk, Konk Master? a. k. a Oil Chafu, Mamba
 
ALIPA MAHARI NG'OMBE 530, MAGARI 3 V8 NA MIL 22

Mfanyabiashara aitwaye Mr. Kok Alat (pichani mwenye suti nyeusi) amefanikiwa kuwashinda wanaume wengine watano akiwemo Gavana wa Jimbo hilo waliotaka kumuoa binti wa miaka 17 aitwaye Nyalong Ngong Deng Jalang kutoka Sudan ya Kusini kwa Kulipa mahali ya Ng'ombe 530 zenye thamani zaidi ya mil 450 na magari Matatu Toyota Land Cruiser V8 yenye thamani ya Tshs 750 milioni na $ 10,000 au Tshs Milioni 22.

Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.

"Baada ya wapinzani wake nao kufika dau la NG'OMBE 520 na magari matatu aina ya V8, Mr. Kok Alat alifunga mjadala huo na kutoa NG'OMBE hao 530, V8 tatu na Dola 10,000 na kutishia kuwa kama wataendelea kumpinga atatoa mahari hizo Mara mbili (NG'OMBE 1060, V8 sita, $ 20,000) na kuongeza ndege aina ya Jet aliyokuja nayo.

Hivyo amefanya binti huyo kuwa bibi harusi mwenye gharama kubwa barani Africa..View attachment 925938View attachment 925939
Duh ana urembo gani huyo Dada mbona wa kawaida tu, sasa ikitokea wameachana mchizi si ataenda kudai mahari yake [emoji4] [emoji4]
 
Ulikuwa mnada au?

Huyo binti ajiandae kisaikolojia pia.
Kila lanheri kwa mwoajibna muolewaji
 
FB_IMG_1541301526800.jpg
Mshkaji akitaka kumpiga kiss itabidi atafute stuli[emoji4] [emoji4] vinginevyo atakua anakiss shingo
 
ALIPA MAHARI NG'OMBE 530, MAGARI 3 V8 NA MIL 22

Mfanyabiashara aitwaye Mr. Kok Alat (pichani mwenye suti nyeusi) amefanikiwa kuwashinda wanaume wengine watano akiwemo Gavana wa Jimbo hilo waliotaka kumuoa binti wa miaka 17 aitwaye Nyalong Ngong Deng Jalang kutoka Sudan ya Kusini kwa Kulipa mahali ya Ng'ombe 530 zenye thamani zaidi ya mil 450 na magari Matatu Toyota Land Cruiser V8 yenye thamani ya Tshs 750 milioni na $ 10,000 au Tshs Milioni 22.

Mr. Kok Alat amelipa MAHARI hiyo kwa baba mzazi wa binti Huyo ambaye ni bikra kutoka Dinka kijiji cha Awiel jimbo la South Eastern nchini Sudan Kusini kutokana na historia ya utamaduni wao, heshima, ukarimu, unyenyekevu, na utu walionao.

"Baada ya wapinzani wake nao kufika dau la NG'OMBE 520 na magari matatu aina ya V8, Mr. Kok Alat alifunga mjadala huo na kutoa NG'OMBE hao 530, V8 tatu na Dola 10,000 na kutishia kuwa kama wataendelea kumpinga atatoa mahari hizo Mara mbili (NG'OMBE 1060, V8 sita, $ 20,000) na kuongeza ndege aina ya Jet aliyokuja nayo.

Hivyo amefanya binti huyo kuwa bibi harusi mwenye gharama kubwa barani Africa..View attachment 925938View attachment 925939
Kichaa cha kiumbe binadamu kwa kisingizio cha mila na desturi ... Thamani ya UTU inapopimwa kwa vipande vya fedha
 
Siyo kwetu unakuta bikira zote mbele nyuma hakuna alafu ukienda kuulizia posa utasikia mahari milion3.5 pumbavuu wakati aliyetoa bikira alitoa chip's kavu na mishikaki iliyolala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari sana
 
Back
Top Bottom