amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Son of Gamba unajuaje hajaguswa?mimi nakuambia ameshapanua kwa kumuangalia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeandika hivyo kutokana na utamaduni wa jamii husika, jamii ya watu wa Sudan mabinti huolewa wakiwa "bikra". Lakini pia haiwezekani kumjua mtu kwa kumuangalia tu kwa nje, hapo nakataa kabisa mkuu amuSon of Gamba unajuaje hajaguswa?mimi nakuambia ameshapanua kwa kumuangalia tu
Mimba tu unapewa bure
Hahahaaa mkuu dunia ina mambaduuuuu aise dunia ina mambo.
ewe njiwa peleka salaam!Hata kwa njiwa sioi
huyu binti akitunzwa atatoka sanaHana hata shape ya kibantu
ila kweli mrembo hana uzuri wa dukani wala wigi...ni kifaa original...
mahari inazidi mishara yako yote na mafaoEti mahari nini?????? Mniache nisije nikacheka nikapaliwa nikazimia nikafa!
Alafu wanaume humu mtasema huyo dada mbaya wakt natural..alafu wavaa mawigi na rangi nyeupe mnawasema kumbe mnawakubal kimoyomoyo
Son of Gamba unajuaje hajaguswa?mimi nakuambia ameshapanua kwa kumuangalia tu