Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

safi sana kumbe wanajivunia rangi yao?
huyu binti ni mrembo sana, akitunzwa anatunzika
 
Nadhani kwa wenzetu urembo unatazamwa tofauti na kwetu
 
wambie watoto hawaelewi hawa viumbe wana uzuri wa ndani wana mbunye tamu balaa. dizani hii nikipishana nayo lazima nigeuze shingo hata kama ni flat screen
 
Wengi tumekimbilia kucheka. Ila tumesahau kua huyu binti amewekwa kwenye mnada. Hana uamuzi na kinachoendelea.

Ni sawa na utumwa.

Katika hao sita kawapenda wote? Amefanya uamuzi?

Umejua ni haki ngapi za binadamu zinakiukwa hapa?

Shenzi
 
Huo ndo muonekano halisi wa.mabibi zetu enzi za urembo wao
Endeleeni kushobokea wavaa brazilian hair wakati wazungu wenyewe hawazishobokei your african hair
 
Huyo sasa Ndo AFRICAN SWEETHEART.
sio tzsweetheart hakuagi akili mpaka umri. Kila siku vipo pale pale kama Shina la mti 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…