Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

NimeZOOM picha yake nimeona yuko kama morani wa kimasai.
 
Kumbe wanaume wanapenda kitu naturally eeh
 
Maisha yenyewe mafupi .... Afrika tunapigwa vita kila mahali ..... na haya mabiological weapon bado utoe ng'ombe 520 kwa huyu??? Hapana [emoji23][emoji23][emoji23]
hata mm nashangaa wajameni
eti Land Cruiser 3
wakati mabanda ya nyasi kijiji kizima kwanini wasimjengee Baba mkwe block
basi hata huyo Bint mvalisheni nguo na viatu
kweli Miafrika ndivyo tulivyo
 
Mkuu ata kapicha ka uyo mrembo a.k.a ngwimba basi......
cuz ulkokaweka ni ka vdume vtupuu...ngwimba yenyew cjaiona
msaada tafadhar....LOL
 
Ndo hapo sasa...wanaume sijui tuwaelewaje
Kwani wanawake wote wakiacha vitu fake wakawa asilia ndiyo itamaanisha kwamba wote ni warembo Sana?

Acha kuchanganya habari Inna. Iko hivi, mwanamke akitumia fekero, kwa mtu kama mimi anakuwa ameshapoteza vigezo ila hiyo haina maana kwamba kila asiyetumia anakidhi vigezo.
 
Shikamoo ulozi... Tena kutoka Msata Tanzania coastal region... Mvuto now loading 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…