Kungwi Mtoto
JF-Expert Member
- Jun 27, 2018
- 796
- 776
Ni mzuri sana tu.. mrefu,na yuko darl skin pia mguu anao.na unamkuta bikra huyo..Urembo wa binti huyo wa miaka 17 kutoka Awerial lililokuwa likiitwa Lake State Sudan Kusini umewashangaza wengi na hata matajiri wamejitokeza kuomba uchumba.
Kufikia mwisho wa Alhamisi, Oktoba 25, wanaume sita tayari walikuwa wameitembelea familia ya Nyalong Ngong Deng wakitoa ahadi za posa; mmoja wa wanaume hao anaongoza kwa kuwa tayari kutoa ng’ombe 520 naa magari matatu aiana ya Toyata V8.
Miongoni mwa wanaume wanaotafuta kumuoa msichana huyo ni aliyekuwa kamishna wa Awerial na Naibu Gavana wa Sasa wa Jimbo la Lakes State Mashariki. Kok Alat anaongoza katika kumtaka binti huyo hazikuwashtua wanaomfahamu kwa utajiri wake mkubwa katika mataifa ya Afrika Mashariki.
Ripoti zinasema kuwa, wanaume wengine zaidi wamejitokeza wakiwa tayari kuchomoa posa kwa ajili ya kumnyakua Nyalong.
Wanaume sita tayari wameonyesha utayari wao wa kuondoka naye.
Katika jamii ya Yirol, mwanamume yeyote anayetaka kuoa ni sharti kuwashawishi vilivyo wazazi wa msichana kabla ya kuruhusiwa,
Familia huwatathmini wanaume kadhaa kabla ya kuweka uwanja wazi kwa walioteuliwa kumposa msichana huyo
Kwa sasa, bado pambano linaendelea na mshindi akipatikana, bila shaka tutawaarifu.
View attachment 912021View attachment 912022
Shida ya watz mmezoea wanawake fekii vogodoro,ngozi imetumia malotion na macream means mkorogo wa kitambaa na pia uso bila foundation au powder au make up au marangi rangi ktk macho huko juu au kope ya bandiaa. Au nywele za wachina Brazilian au kasuka.. mnaona huyo sio mrembo.. mtapata tabu sana.. huyo yuko cuteeeeeeee na natural kila kitu na bikra huyo msifikiri hilo dau katumika hhehehehee mpya huyo..