Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Picha: Mrembo Nyailong ambaye mahari yake ni ng'ombe 520 na magari 3

Ngoja nimalize kucheka kwanza kisha ntarudi kukoment!
Ngoja nikusaidie tu hakuna namna [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Tutakuzika ....endeleeni kuvaa kope bandia...macho bandia ...papuchi wekeni ndimu na vitunguu swaumu....mawigi...kaloraiti sana ...mahari zenu hazitozidi laki mbili na kuku wawili
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mwambie huyo kwann atuone wa hvyo ni wabayaa?
Hawajui kua wew ni mrembo. Mtoto rangi imekubali mweusi tititiiii na mahari yako hta namba zake hazihesabiki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom