Picha: Msaada tatizo sehemu za siri

Habari

Naomba kufahamu hili ni tatizo gani? limesababishwa na nini? na kuhusu tiba yake pia tafadhali.
View attachment 2730416
Hiyo Genital herps...!

Wasikutishe Wanafiki wa JF, ni Ugonjwa ambao umesambaa Duniani kote, ni Ugonjwa wa Zinaa ila sio Kaswende, nenda kapime Ukimwi, kama ukiwa Negative...

Unaweza kufanya Treatment ukipenda, japo ukiamua kuishi nao pia hamna shida.

Changamoto ni kwamba utamwambukiza kila Mwanamke ukitembea nae Peku....!

Hao ni Virus so matibabu ni aina mbili, kuua hao Virus pia kuondoa hizo Vipele, unaweza kuondoa Vipele bado Virus wakawepo, na Vipele vikarudi baadaye, unaweza kuua Virus bado Vipele vikawepo.

Vipo Vidonge kwa ajiri ya hao Virus, pia zipo Laser kwa ajiri kuondoa hivyo vipele, ila kuna ushuhuda humu watu kutumia Utomvu wa Papai bichi na vikaondoa hivyo Vipele..!!

Kama vipele havina muda mrefu toka vijitokeze, unaweza kuanza kutumia Utomvu wa Papai, then ukatafuta Vidonge kwa ajiri kuua hao Virus...!

Sio Virus kama wa Ukimwi so ukitumia Dozi vizuri Virus watakwisha.
 
Kwanza niseme kwa masikito makubwa kwamba jf imekua ya hovyo sana,katika post 106 ni post 3 tu kwenye huu uzi ndio zimekuwa na maana, wengine wote wameleta utani na kejeli.

Hizo ni genital warts.
Huwa hakuna dawa ya kumeza isipokuwa nyia kuu mbili.

1.Cryotherapy,I mean kuzipiga na NO² ambayo ina baridi kali mpka zigandw then zinaharibika na kuacha kidonda ambacho kitapona baada ya siku kadhaa,hii najua pale KCMC school of dermatology wanafany sijui sehemu nyingine

2.Njia ya pili ni kutumia dawa inaitwa podophyllum toxin hii ni dawa unaweka directly kwenye hivyo vi warts baada ya siku mbili au tatu vinaanza kupukutika na kuacha kidonda ambacho kitapona baada ya siku kadhaa.
Hii dawa inauzwa kwenye maduka ya dawa makubwa

3.Njia ya asili,kuna jamaa amewahi kuelezea humu ndani,chukua papai bichi kabisa,tafuta pini au shindano,toboa papai kwa kutumia hiyo pin au sindano then utatoka ule utomvu mweupe,tumia pin au sindani kutoboa toboa hivyo vi warts then paka ule utomvu mara mbili kwa siku,warts zitaisha ndani ya siku mbil,ila shoda ya hii njia ni moja tu, utomvu wa papai ni mkali sana utakuachia vidonda kama ukigusa sehemu isiyohusika mfano ke.nde.
Angalizo.paka mafuta ya Vaseline sehemu zisizo husika kabla ya kupaka podophyllum toxin or utomvu wa papai.
 
Mkuu, kwani hizo stage zote za Kaswende ukipima kwa vipimo zinaonekana? Au wanapima kwa dalili tu!?.
Nahisi ni dalili kwakua kawaida stages zina dalili tofauti, ukipima mkojo sijajua kama vipimo vitakua tofauti baina ya stage moja na nyingine. Ila ni kuwa makini maana inaweza kukupata na usijue kuna watu ikiwatokea vile vipele au lenge lenge haliumi kabisa mpka linakauka kwahyo utakuja kustuka ukitokewa na stage 2.
 
Kaswende ukipima VDRL after 1 or 2weeks INAONYESHA VIZURI SANA,hawapimi mkojo wanapima Damu
 
Maisha yalitakiwa yawe marefu sana ili kinachohubiriwa na wataalam wa afya kiwe na mantiki sahihi.
Watu wanafanya kila wanachoshauriwa kuepuka maginjwa ya figo moyo saratani na ngono halafu wanaishia kwenye ajali na kupoteza maisha.
Ninachotaka kusema ni kuwa no matter how in lofe hakuna guarantee. Hasa juku third world risks ni nyingi sana.
 
Allah akufanyie wepesi kisije kuwa kinakuwa hicho kipele maana itakuwa kama wale jamaa wenye matez ya skioni kutamaki unakuwa na mboo mbili moja kubwa kama kichwa
Mkuu unamaanisha au unatania?

Ukweli ni kwamba tunalo ombwe kubwa sana la vijana kufanya ngono zembe mitaani,maana kwanza wanaanza ngono wakiwa wadogo sijui hata kama kuvaa condoms wanajua.kingine ktk jamii zetu wapo watoto waliozaliwa hasa miaka ya 97/98 sogea sogea mpaka 2003 wengine walizaliwa na wazazi wenye ukimwi hawa sasa ndiyo sex machine za vijana mitaani so ngoma inasambaa vibaya sana miaka kumi ijayo majibu yake tutayaona.
 
Intelligent businessman nasemwa uku
 
Imewahi kunipata nadhani Dr Restart yuko sahihi moja wapo ya sababu ni ngono isiyo salama kwangu havikuwa na maumivu yoyote vilipotea vyenyewe baada ya karibu miaka miwili ila nakushauri uende hospitali pia uache kuruka ukuta
 


Uasherati kazi sana ona sasa mtu ujitoboe toboe na pini mwenyewe uweke dawa.
🤣🤣
Nyie tufanyeni ngono salama, tuwe waaminifu na kutumia condoms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…